UTAMU WA PILIPLI HOHO

  • Home
  • HABARI
  • WASANII
  • SPORTS
    • FOOTBALL
    • MPIRA WA MIGUU
    • BASKETBALL
  • LOVE
    • LOVE
    • MAPENZI
  • SIASA
  • GOSSIP
  • Download This Template
Home » WASANII » KHADIJA KOPA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LA DIAMOND NA ALI KIBA

KHADIJA KOPA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LA DIAMOND NA ALI KIBA

Written By MWAYANGASPORTS on Saturday, 28 February 2015 | 08:22

 
Khadija Kopa, ni mwanamuziki wa Taarab mwenye jina kubwa sanaa hapa nchini Tanzania na mbaye alikuwepo katika show moja iliyofanyika Dar na kukatokea tafrani za wasanii kurushiwa makopo wakiwa jukwaani.
Khadija Kopa amesema hakupendezwa na tukio hilo kwa kuwa inawavunja moyo wasanii wetu hao ambao ni wawakilishi wetu wa nchi.
KUHUSU BIFU LA DIAMOND NA KIBA
Malkia huyu wa Mipasho alizungumzia pia mastaa wawili wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Diamond na Ali Kiba akasema kama kuna hali ya kutokuwa na maelewano kati yao ni vizuri wakakaa na kumaliza tofauti zao kwa kuwa hata yeye na marehemu Nasma Khamis Kidogo walikuwa marafiki ila mashabiki ndio walikuwa wanarushiana vijembe kupitia nyimbo zao.
akasema kuwa mashabiki wamekuwa ni watu ambao wanatengeneza bifu zao huko mitaani kwao kulingana na mapenzi yao kwa wanamuziki hao, lakini kumbe huku waliko wanapatana na pengine hata kuchangiana mawazo ya kikazi

 



SHARE SHARE SHARE

About MWAYANGASPORTS

RELATED POSTS

0 comments :

Post a Comment

Newer Post Older Post Home

Popular Posts

  • JAMANI MIE UKAHABA SASA BASI" PART 4
    INAENDELEA HAPA: Mwalimu KABAVAKO aliwachapa kila mmoja fimbo nne nne, kisha akawarudisha ofisini kwa mwalimu mkuu walipofika ofisini...
  • Anataka kunifanya usiku mzima, kwasababu nina matako mkubwa na mapaja mkubwa, matiti madogo
      Mimi nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!  Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoj...
  • JAMANI MIE UKAHABA SASA BASI" PART 2
    INAENDELEA HAPA: Baada ya JENIFER na wenzake kukamatwa na mwalimu na kupewa adhabu hiyo ya kwenda na wazazi wao shuleni siku ya Ijuma...
  • After losing her son and her long time lover, JULIANA KANYOMOZI is now dating this celeb
    There is a rumour going round Uganda’s showbiz circles that former TPF judge, Juliana Kanyomozi, has finally found love just a f...
  • JAMANI MIE UKAHABA SASA BASI" PART 1
    AMANI MIE UKAHABA SASA BASI ni Hadithi inayomuhusu binti wa kitanzania alietunukiwa uzuri wa asili na mvuto wa kipekee aliojaaliwa na...
  • No More Twerking!!, Tanzania Bans The Provocative Dance
        “This sounds like violation of human rights? You have a bum but you can’t put it in use!! Why?? You will provoke weak men to rape...
  • Ofisa wa IKULU Ahojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma......Adai Hajui Sababu za Rugemalila Kumpatia Mamilioni
        Mnikulu Shaban Gurumo amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kwamba alipokea Sh milioni 80.8 kutoka kwa James Rug...
  • JAMANI MIE UKAHABA SASA BASI" PART 5
    INAENDELEA HAPA: Baada ya kuvutana sana kati ya Mwalimu mkuu na Mr. Brown ofisini ikabidi mwalimu mkuu akubali kuwa mpole na kurudish...
  • NEVER marry a SECRETARY
    Secretaries play an imperative role in any organisation. They are responsible for the smooth running of the secretarial and clerical...
  • Serengeti Boy Asimulia Jinsi Alivyolifaidi Penzi la Wolper
Copyright © 2015 UTAMU WA PILIPLI HOHO
Follow via Facebook Follow via Twitter Follow via Google Follow via Pinterest Follow via Youtube Follow via RSS