Mrembo
na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford ametoa
mtazamo wake kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu swala la watu
kulalamika muda
wote kuwa wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.
“Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila
kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na
kumpuuza”. Aliandika msanii huyo
Wengi walionyesha kumuunga mkono kwa kushusha komenti zao, Je wewe kwa upande wako swala hili
unaichukuliaje?.
0 comments :
Post a Comment