Home » » Ng'ombe Hazeeki Maini: Mtazame Mzee Majuto Akilifaidi SHAVU La Nisha

Ng'ombe Hazeeki Maini: Mtazame Mzee Majuto Akilifaidi SHAVU La Nisha

Written By MWAYANGASPORTS on Saturday, 7 March 2015 | 05:17

 
Katika pita pita zangu kwenye kurasa za  waigizaji  kwenye mitandao ya kijamii  nimefanikiwa  kukutana  na picha hizi tamu za Mzee Majuto akiwa na mrembo Nisha wakipeana  vitu  adimu..
 
Kilichonifurahisha katika  picha  hizi ni hizi pozi zao mbili tofauti, kwanza wanaonekana kama  wanachombezana mara wanaonekana kama wamefumaniwa…hahahaha hatari sana.
 
Nisha aliandika maneno haya kwenye picha hiyo hapo juu.
 
“Mahaba nitie pili pili za macho... kazini na my baby babu... Kiss mke mdogo la sivyo nakuoshesha vyombo

SHARE

About MWAYANGASPORTS

0 comments :

Post a Comment