Home » » Nani Mkali Kati ya Jokate na Lulu Michael Katika Hizi Picha zao Mpya za Mwaka 2015

Nani Mkali Kati ya Jokate na Lulu Michael Katika Hizi Picha zao Mpya za Mwaka 2015

Written By MWAYANGASPORTS on Thursday, 5 March 2015 | 14:53

 
Jokate Mwegelo na Elizabeth ‘Lulu’ Michael wameshare zao za walizopiga kwaajili ya miradi yao mipya. Kupitia Instagram, warembo hao wamewaonesha mashabiki wao muonekano wao wa 2015 na jinsi walivyo warembo. Lakini yupi ni zaidi? Tazama picha hizi na kisha weka maoni yako chini.


Lulu Michael

 Jokate
SHARE

About MWAYANGASPORTS

0 comments :

Post a Comment