Home
»
MAPENZI
»
Tabia ya Mwanamke Asiyewasjibika Kitandani
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo
zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya
nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao
*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
*Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
*Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama
ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja
kunisumbua..
*Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna...
anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa
aliyekata tamaa ya kudaka penati......
*Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume
kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja
kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni
0 comments :
Post a Comment