UTAMU WA PILIPLI HOHO

  • Home
  • HABARI
  • WASANII
  • SPORTS
    • FOOTBALL
    • MPIRA WA MIGUU
    • BASKETBALL
  • LOVE
    • LOVE
    • MAPENZI
  • SIASA
  • GOSSIP
  • Download This Template
Home » MAPENZI » TAZAMA kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa

TAZAMA kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa

Written By MWAYANGASPORTS on Monday, 2 March 2015 | 14:02



Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ?
Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya .
Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma.
Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut
Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa.
Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi.
Kim Kardashian
Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi.
Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio yaliyopinda kwa kiwango cha 45.5
Aidha zaidi ya asilimia 30% walisema wangalimchukua mwanamke mwenye makalio makubwa zaidi ya yule waliye naye sasa.
Kwa mujibu wa utafiti huo katika miaka ya awali mwanamke aliyeonekana kuwa na makalio makubwa alipendelewa kutokana na uwezo wake wa kubeba mizigo mgongoni.
Isitoshe mwanamke kama huyo aliwavutia wanaume wengi na hivyo kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi.
Aidha mwanamke mwenye makalio makubwa angeweza kustahili uzito wa mtoto aliyebebwa tumboni na hata kustahilimi makali ya uzazi kuliko wale wenye makalio wastani.



SHARE SHARE SHARE

About MWAYANGASPORTS

RELATED POSTS

0 comments :

Post a Comment

Newer Post Older Post Home

Popular Posts

  • JAMANI MIE UKAHABA SASA BASI" PART 4
    INAENDELEA HAPA: Mwalimu KABAVAKO aliwachapa kila mmoja fimbo nne nne, kisha akawarudisha ofisini kwa mwalimu mkuu walipofika ofisini...
  • JAMANI MIE UKAHABA SASA BASI" PART 5
    INAENDELEA HAPA: Baada ya kuvutana sana kati ya Mwalimu mkuu na Mr. Brown ofisini ikabidi mwalimu mkuu akubali kuwa mpole na kurudish...
  • MAMBO HAYA 10 MWANAUMEAKIMFANYIA MWANAMKE KAMWE HAWEZI KWENDA MBALI NA KUMMILIKI KABISA!!
    Utangulizi Moja ya makosa makubwa ambayo yamekuwa yakifanywa na wanaume,ni kujifunza mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi wanawake zao ...
  • Arsenal manager Arsene Wenger puzzled by Financial Fair Play regulations.
    Arsenal manager Arsene Wenger has admitted that he is in the dark over the application of Financial Fair Play regulations. ...
  • Arsenal boss Wenger warns England manager over Harry Kane's international future.
    The Tottenham Hotspur hotshot has been a revelation this season and Arsenal boss Arsene Wenger has called on Roy Hodgson to hand hi...
  • Arsenal ace Santi Cazorla scoops PFA Fans' Player of the Month award for January.
    Arsenal attacker Santi Cazorla has won the PFA Fans’ Player of the month award after his heroics in January The Spanis...
  • Man Utd gossip: Marquinhos pleased by interest, Pereira talks, Alves contract
      Marquinhos has talked about how happy Manchester United's interest in the January transfer window made him. In an interview wit...
  • Arsenal boss Arsene Wenger talks up FA Cup quarters draw with Manchester United.
    Arsenal manager Arsene Wenger is relishing the FA Cup quarter finals clash with Manchester United. The Gunners are kee...
  • Man Utd captain Wayne Rooney throws down the gauntlet to struggling Angel Di Maria.
    Manchester United skipper Wayne Rooney has challenged teammate Angel Di Maria to "figure out" for himself how to rediscove...
  • Arsenal boss Wenger speaks out on reports linking in-form attacker Cazorla to Atletico.
    Arsenal manager Arsene Wenger has played down reports linking attacker Santi Cazorla with a summer move to Spanish champions Atletic...
Copyright © 2015 UTAMU WA PILIPLI HOHO
Follow via Facebook Follow via Twitter Follow via Google Follow via Pinterest Follow via Youtube Follow via RSS