Je wengi wajiuliza ni mahusiano mapya ama ni picha tu?... Habari za
udaku zilzotufikia zinasema kuwa Msanii nguli nchini Marekani 50 Cent amekutwa mitaa ya Los Angeles
akiwa amepozi na demu huyu. Duru za mapenzi zinadai kuwa yawezekana
msanii huyu anataka kujenga kibanda kwa mrembo huyu. Mpaka tunaingia
mitamboni hatuweza kupata jina la msichana huyu.
0 comments :
Post a Comment