INAENDELEA HAPA:
Kipindi Mr. Brown anampiga mke wake Mrs. Brown
ghafla wakatokea wazazi wa Mr. Brown ambao ni wakwe wa Mrs. Brown
walikwenda kuwatembelea wakakuta kuna vurugu kwa watoto wao
walichokifanya wazazi wale waliamua ugomvi na kuwaweka chini na
kuwasikiliza kwa umakini watoto wao chanzo cha wao kugombana ni nini?
Wakaanza kuelezea ilivyokua. Wazazi wa Mr. Brown wakatumia busara na
kuwasihi wasigombane na wakawapatanisha watoto wao pale pale Mr na Mrs.
Brown wakamaliza tofauti zao wakawa na amani wakajumuika pamoja na
wazazi wao mpaka ilipofika jioni wale wazazi wakaondoka huku nyuma Mr na
Mrs. Brown walikaa na kujadili njia nyingine ya kumsaidia binti yao
Jenifer aweze kuendelea na masomo shule wakaona ni bora wamtafutie tu
binti yao shule nyingine ili aweze kuendelea na masomo yake, baada ya
siku kadhaa Mr. Brown alijitahidi kuhangaikia shule ili aweze kumpeleka
binti yake JENIFER aweze kuendelea na masomo akiwa na dhamira ile ile
aliyokua nayo tangu awali kuwa binti yao JENIFER wakimsomesha
baadae atakuja kuwasaidia katika maisha yao, mungu
alisaidia Mr. Brown akajitahidi akafanikiwa kumpatia nafasi binti yake
JENIFER katika shule moja iitwayo KILIMANJARO SECONDARY SCHOOL na binti
yao akajiunga na shule hiyo akaendelea na masomo yake. JENIFER alipokua
shuleni hapo tabia yake chafu haikubadilika aliendelea na tabia yake ile
ile ya kua na marafiki ambao tabia zao zilikua ni chafu na ikafikia
hatua JENIFER akawa anamahusiano ya kimapenzi na waalimu wa shuleni hapo
tena kwa kuwachanganya alikua anatembea na MWALIMU MKUU (head master),
MWALIMU MKUU MSAIDIZI (Second master) na MWALIMU WA TAALUMA (Academic
master) tena bila ya walimu hao kutofahamu kama wanachangia penzi moja
kwa binti huyo, Sasa siku moja Mwalimu mkuu wa Shule hiyo ambae ni
mpenzi wake JENIFER alimuita JENIFER ofisini kwake na kuanza kumshika
shika ofisini hatimae wakafanya nae tendo chafu la ngono ndani ya ofisi
na hawakufunga mlango wa ofisi hiyo, ghafla Mwalimu mkuu msaidizi
akafungua ule mlango wa ofisi ya mwalimu mkuu,
alikua anampelekea ma faili mwalimu mkuu alipovamia akamkuta mwalimu
mkuu na JENIFER wakiwa katika tendo, mwalimu mkuu msaidizi alishtuka
sana kuona vile hakuongea kitu alitoka nje haraka.
0 comments :
Post a Comment