STAA
wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu amezua kioja cha aina
yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo
Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar
alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka
baada kutumiwa maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa
simu.
“Heeeh! Huyu vipi tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia, hapa nataka kusikia mimi na maisha yangu na si maisha ya mtu mwingine,” alisikika Wema.
“Heeeh! Huyu vipi tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia, hapa nataka kusikia mimi na maisha yangu na si maisha ya mtu mwingine,” alisikika Wema.
0 comments :
Post a Comment